فَإِذَا فَرَغۡتَ فَٱنصَبۡ ٧
Fa idhā faraghta fansab
Na ukipata faragha, fanya juhudi. 7
Maelezo ya chini
7 Basi ukipata nafasi katika kazi ya kuwalingania watu, na mambo yaliyo khusiana na Jihadi, endelea na jitihada ya ibada na jishughulishe nafsi yako katika hayo.