أَلَمۡ نَشۡرَحۡ لَكَ صَدۡرَكَ ١
Alam nashrah laka sadrak
Hatukukunjulia kifua chako? 1
Maelezo ya chini
1 Hakika tumekukunjulia kifua chako kwa kuwa tulitia ndani yake Uwongofu na Imani.
أَلَمۡ نَشۡرَحۡ لَكَ صَدۡرَكَ ١
Alam nashrah laka sadrak
Hatukukunjulia kifua chako? 1
1 Hakika tumekukunjulia kifua chako kwa kuwa tulitia ndani yake Uwongofu na Imani.