Surat Ash-Sharh, aya 4

94:4

وَرَفَعۡنَا لَكَ ذِكۡرَكَ ٤

Warafa'nā laka dhikrak

Na tukakunyanyulia utajo wako? 4

Maelezo ya chini

4 Na tumelitukuza jina lako, tukalifanya linatajwa na ulimi wa kila Muumini pamoja na jina letu.