وَٱلۡفَجۡرِ ١
Wal-fajr
Naapa kwa alfajiri! 1
Tafsiri: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani
بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
وَٱلۡفَجۡرِ ١
Wal-fajr
Naapa kwa alfajiri! 1
وَلَيَالٍ عَشۡرٖ ٢
Walayālin 'ashr
Na kwa masiku kumi! 2
وَٱلشَّفۡعِ وَٱلۡوَتۡرِ ٣
Wash-shaf'i wal-watr
Na kwa viwili viwili na kimoja kimoja! 3
وَٱلَّيۡلِ إِذَا يَسۡرِ ٤
Wallayli idhā yasr
Na kwa usiku unapo pita! 4
هَلۡ فِي ذَٰلِكَ قَسَمٞ لِّذِي حِجۡرٍ ٥
Hal fī dhālika qasamul lidhī hijr
Je! Hapana katika haya kiapo kwa mwenye akili? 5
أَلَمۡ تَرَ كَيۡفَ فَعَلَ رَبُّكَ بِعَادٍ ٦
Alam tara kayfa fa'ala rabbuka bi'ād
Kwani hukuona jinsi Mola wako Mlezi alivyo wafanya kina A'di? 6
إِرَمَ ذَاتِ ٱلۡعِمَادِ ٧
Irama dhātil-'imād
Wa Iram, wenye majumba marefu? 7
ٱلَّتِي لَمۡ يُخۡلَقۡ مِثۡلُهَا فِي ٱلۡبِلَٰدِ ٨
Allatī lam yukhlaq mithluhā fil-bilād
Ambao haukuumbwa mfano wake katika nchi? 8
وَثَمُودَ ٱلَّذِينَ جَابُواْ ٱلصَّخۡرَ بِٱلۡوَادِ ٩
Wathamūdal-ladhīna jābus-sakhra bil-wād
Na Thamudi walio chonga majabali huko bondeni? 9
وَفِرۡعَوۡنَ ذِي ٱلۡأَوۡتَادِ ١٠
Wafir'awna dhil-awtād
Na Firauni mwenye vigingi? 10
ٱلَّذِينَ طَغَوۡاْ فِي ٱلۡبِلَٰدِ ١١
Alladhīna taghaw fil-bilād
Ambao walifanya jeuri katika nchi? 11
فَأَكۡثَرُواْ فِيهَا ٱلۡفَسَادَ ١٢
Fa aktharū fīhal-fasād
Wakakithirisha humo ufisadi? 12
فَصَبَّ عَلَيۡهِمۡ رَبُّكَ سَوۡطَ عَذَابٍ ١٣
Fasabba 'alayhim rabbuka sawta 'adhāb
Basi Mola wako Mlezi aliwapiga mjeledi wa adhabu. 13
إِنَّ رَبَّكَ لَبِٱلۡمِرۡصَادِ ١٤
Inna rabbaka labil-mirsād
Hakika Mola wako Mlezi yupo kwenye mavizio anawavizia. 14
فَأَمَّا ٱلۡإِنسَٰنُ إِذَا مَا ٱبۡتَلَىٰهُ رَبُّهُۥ فَأَكۡرَمَهُۥ وَنَعَّمَهُۥ فَيَقُولُ رَبِّيٓ أَكۡرَمَنِ ١٥
Fa ammal-insānu idhā mabtalāhu rabbuhū fa akramahū wana''amahū fayaqūlu rabbī akraman
Ama mtu anapo jaribiwa na Mola wake Mlezi, akamkirimu na akamneemesha, husema: Mola wangu Mlezi amenikirimu! 15
وَأَمَّآ إِذَا مَا ٱبۡتَلَىٰهُ فَقَدَرَ عَلَيۡهِ رِزۡقَهُۥ فَيَقُولُ رَبِّيٓ أَهَٰنَنِ ١٦
Wa ammā idhā mabtalāhu faqadara 'alayhi rizqahū fayaqūlu rabbī ahānan
Na ama anapo mjaribu akampunguzia riziki yake, husema: Mola wangu Mlezi amenitia unyonge! 16
كَلَّاۖ بَل لَّا تُكۡرِمُونَ ٱلۡيَتِيمَ ١٧
Kallā bal lā tukrimūnal-yatīm
Sivyo hivyo! Bali nyinyi hamuwakirimu mayatima, 17
وَلَا تَحَٰٓضُّونَ عَلَىٰ طَعَامِ ٱلۡمِسۡكِينِ ١٨
Walā tahāddūna 'alā ta'āmil-miskīn
Wala hamhimizani kulisha masikini; 18
وَتَأۡكُلُونَ ٱلتُّرَاثَ أَكۡلٗا لَّمّٗا ١٩
Wata'kulūnat-turātha aklal lammā
Na mnakula urithi kwa ulaji wa pupa, 19
وَتُحِبُّونَ ٱلۡمَالَ حُبّٗا جَمّٗا ٢٠
Watuhibbūnal-māla hubban jammā
Na mnapenda mali pendo la kupita kiasi. 20
كَلَّآۖ إِذَا دُكَّتِ ٱلۡأَرۡضُ دَكّٗا دَكّٗا ٢١
Kallā idhā dukkatil-ardu dakkan dakkā
Sivyo hivyo! Itakapo vunjwa ardhi vipande vipande, 21
وَجَآءَ رَبُّكَ وَٱلۡمَلَكُ صَفّٗا صَفّٗا ٢٢
Wajā'a rabbuka wal-malaku saffan saffā
Na akaja Mola wako Mlezi na Malaika safu safu, 22
وَجِاْيٓءَ يَوۡمَئِذِۭ بِجَهَنَّمَۚ يَوۡمَئِذٖ يَتَذَكَّرُ ٱلۡإِنسَٰنُ وَأَنَّىٰ لَهُ ٱلذِّكۡرَىٰ ٢٣
Wajiy'a yawma'idhi bijahannama yawma'idhin yatadhakkarul-insānu wa annā lahudh-dhikrā
Na ikaletwa Jahannamu siku hiyo, siku hiyo mtu atakumbuka! Lakini kukumbuka huko kutamfaa nini? 23
يَقُولُ يَٰلَيۡتَنِي قَدَّمۡتُ لِحَيَاتِي ٢٤
Yaqūlu yālaytanī qaddamtu lihayātī
Atasema: Laiti ningeli jitangulizia kwa uhai wangu! 24
فَيَوۡمَئِذٖ لَّا يُعَذِّبُ عَذَابَهُۥٓ أَحَدٞ ٢٥
Fayawma'idhil lā yu'addhibu 'adhābahū ahad
Basi siku hiyo hataadhibu yeyote namna ya kuadhibu kwake. 25
وَلَا يُوثِقُ وَثَاقَهُۥٓ أَحَدٞ ٢٦
Walā yūthiqu wathāqahū ahad
Wala hatafunga yeyote kama kufunga kwake. 26
يَٰٓأَيَّتُهَا ٱلنَّفۡسُ ٱلۡمُطۡمَئِنَّةُ ٢٧
Yā'ayyatuhan-nafsul-mutma'innah
Ewe nafsi iliyo tua! 27
ٱرۡجِعِيٓ إِلَىٰ رَبِّكِ رَاضِيَةٗ مَّرۡضِيَّةٗ ٢٨
Irji'ī ilā rabbiki rādiyatam mardiyyah
Rejea kwa Mola wako Mlezi umeridhika, na umemridhisha. 28
فَٱدۡخُلِي فِي عِبَٰدِي ٢٩
Fadkhulī fī 'ibādī
Basi ingia miongoni mwa waja wangu, 29
وَٱدۡخُلِي جَنَّتِي ٣٠
Wadkhulī jannatī
Na ingia katika Pepo yangu. 30
Nambari za maelezo ya chini zinaelekeza kwenye ukurasa wa aya, ambapo maelezo ya mfasiri yanaonyeshwa.
Matamshi kwa Kilatini ni msaada wa kusoma ulioandikwa na Qabas kutoka kwa Kiarabu. Jifunze herufi za Kiarabu na tajwidi kwa matamshi sahihi.
Surat Al-Fajr ina aya 30. Ni sura namba 89 ya Qur'ani.
Surat Al-Fajr ni sura Makkiya.
Surat Al-Fajr iko katika juzuu 30.
Ndiyo. Bonyeza Cheza juu ya ukurasa huu, au anza kutoka aya yoyote. Programu ya Qabas pia inakuwezesha kuipakua ili kuisikiliza bila intaneti.