Surat Al-Fajr, aya 4

89:4

وَٱلَّيۡلِ إِذَا يَسۡرِ ٤

Wallayli idhā yasr

Na kwa usiku unapo pita! 4

Maelezo ya chini

4 Na kwa usiku unapo pita kwa kwenda ulimwengu kwa namna ya ajabu.