Surat Al-Fajr, aya 19

89:19

وَتَأۡكُلُونَ ٱلتُّرَاثَ أَكۡلٗا لَّمّٗا ١٩

Wata'kulūnat-turātha aklal lammā

Na mnakula urithi kwa ulaji wa pupa, 19

Maelezo ya chini

19 Na mnakula mali ya urithi kwa pupa, hamchagui linalo faa na lisilo faa.