Surat Al-Fajr, aya 28

89:28

ٱرۡجِعِيٓ إِلَىٰ رَبِّكِ رَاضِيَةٗ مَّرۡضِيَّةٗ ٢٨

Irji'ī ilā rabbiki rādiyatam mardiyyah

Rejea kwa Mola wako Mlezi umeridhika, na umemridhisha. 28

Maelezo ya chini

28 Rejea kwenye radhi ya Mola wako Mlezi nawe uradhi kwa neema ulio pewa, nawe umemridhisha kwa a'mali uliyo ikadimisha.