Surat Al-Fajr, aya 3

89:3

وَٱلشَّفۡعِ وَٱلۡوَتۡرِ ٣

Wash-shaf'i wal-watr

Na kwa viwili viwili na kimoja kimoja! 3

Maelezo ya chini

3 Na shafi' yaani hisabu inayo gawika kwa mbili, kama 4, 6, 8 n.k. na witri, yaani isiyo gawika kwa mbili, kama 1, 3, 5 n.k. katika kila kitu.