Surat Al-Fajr, aya 9

89:9

وَثَمُودَ ٱلَّذِينَ جَابُواْ ٱلصَّخۡرَ بِٱلۡوَادِ ٩

Wathamūdal-ladhīna jābus-sakhra bil-wād

Na Thamudi walio chonga majabali huko bondeni? 9

Maelezo ya chini

9 Kwani hukujua jinsi Mola wako Mlezi alivyo teremsha adhabu yake kwa Thamudi, kaumu ya Saleh, walio chonga majabali kujengea nyumba zao huko bondeni?