وَتُحِبُّونَ ٱلۡمَالَ حُبّٗا جَمّٗا ٢٠
Watuhibbūnal-māla hubban jammā
Na mnapenda mali pendo la kupita kiasi. 20
Maelezo ya chini
20 Na mnayapenda mali mno, yanayo kupelekeeni kupapatika katika kuyakusanya na ubakhili wa kuyatumia.