فَيَوۡمَئِذٖ لَّا يُعَذِّبُ عَذَابَهُۥٓ أَحَدٞ ٢٥
Fayawma'idhil lā yu'addhibu 'adhābahū ahad
Basi siku hiyo hataadhibu yeyote namna ya kuadhibu kwake. 25
Maelezo ya chini
25 Siku hiyo zitakuwa hali hizi, haadhibu mtu kama adhabu ya Mwenyezi Mungu, wala hafungi mtu kama afungavyo Yeye.