Surat Al-Fajr, aya 5

89:5

هَلۡ فِي ذَٰلِكَ قَسَمٞ لِّذِي حِجۡرٍ ٥

Hal fī dhālika qasamul lidhī hijr

Je! Hapana katika haya kiapo kwa mwenye akili? 5

Maelezo ya chini

5 Je! Katika vitu vilivyo tajwa vinavyo onekana kwa akili hapana kiapo cha kukinaisha?