Surat Al-Fajr, aya 6

89:6

أَلَمۡ تَرَ كَيۡفَ فَعَلَ رَبُّكَ بِعَادٍ ٦

Alam tara kayfa fa'ala rabbuka bi'ād

Kwani hukuona jinsi Mola wako Mlezi alivyo wafanya kina A'di? 6

Maelezo ya chini

6 Kwani hujui jinsi Mola wako Mlezi alivyo wateremshia adhabu yake kaumu ya Hud, ?