Surat Al-Fajr, aya 26

89:26

وَلَا يُوثِقُ وَثَاقَهُۥٓ أَحَدٞ ٢٦

Walā yūthiqu wathāqahū ahad

Wala hatafunga yeyote kama kufunga kwake. 26

Maelezo ya chini

26 Siku hiyo zitakuwa hali hizi, haadhibu mtu kama adhabu ya Mwenyezi Mungu, wala hafungi mtu kama afungavyo Yeye.