Surat Al-Fajr, aya 24

89:24

يَقُولُ يَٰلَيۡتَنِي قَدَّمۡتُ لِحَيَاتِي ٢٤

Yaqūlu yālaytanī qaddamtu lihayātī

Atasema: Laiti ningeli jitangulizia kwa uhai wangu! 24

Maelezo ya chini

24 Atasema kwa majuto: Laiti ningeli jitangulizia katika dunia vitendo vyema vya kunifaa katika maisha ya Akhera!