Surat Al-Fajr, aya 10

89:10

وَفِرۡعَوۡنَ ذِي ٱلۡأَوۡتَادِ ١٠

Wafir'awna dhil-awtād

Na Firauni mwenye vigingi? 10

Maelezo ya chini

10 Au kwani hukujua vipi Mola wako Mlezi alivyo wateremshia adhabu yake Firauni mwenye majeshi yaliyo upa nguvu ufalme wake kama vigingi vinavyo simamisha makhema?