هَلۡ أَتَىٰكَ حَدِيثُ ٱلۡغَٰشِيَةِ ١
Hal atāka hadīthul-ghāshiyah
Je! Imekufikia khabari ya msiba wa kufudikiza? 1
Tafsiri: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani
بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
هَلۡ أَتَىٰكَ حَدِيثُ ٱلۡغَٰشِيَةِ ١
Hal atāka hadīthul-ghāshiyah
Je! Imekufikia khabari ya msiba wa kufudikiza? 1
وُجُوهٞ يَوۡمَئِذٍ خَٰشِعَةٌ ٢
Wujūhun yawma'idhin khāshi'ah
Siku hiyo nyuso zitainama! 2
عَامِلَةٞ نَّاصِبَةٞ ٣
'Āmilatun nāsibah
Zikifanya kazi, nazo taabani. 3
تَصۡلَىٰ نَارًا حَامِيَةٗ ٤
Taslā nāran hāmiyah
Ziingie katika Moto unao waka . 4
تُسۡقَىٰ مِنۡ عَيۡنٍ ءَانِيَةٖ ٥
Tusqā min 'aynin āniyah
Zikinyweshwa kutoka chemchem inayo chemka. 5
لَّيۡسَ لَهُمۡ طَعَامٌ إِلَّا مِن ضَرِيعٖ ٦
Llaysa lahum ta'āmun illā min darī'
Hawatakuwa na chakula isipo kuwa kichungu chenye miba. 6
لَّا يُسۡمِنُ وَلَا يُغۡنِي مِن جُوعٖ ٧
Llā yusminu walā yughnī min jū'
Hakinenepeshi wala hakiondoi njaa. 7
وُجُوهٞ يَوۡمَئِذٖ نَّاعِمَةٞ ٨
Wujūhun yawma'idhin nā'imah
Siku hiyo nyuso nyengine zitakuwa kunjufu. 8
لِّسَعۡيِهَا رَاضِيَةٞ ٩
Llisa'yihā rādiyah
Zitakuwa radhi kwa juhudi yao! 9
فِي جَنَّةٍ عَالِيَةٖ ١٠
Fī jannatin 'āliyah
Katika Bustani ya juu. 10
لَّا تَسۡمَعُ فِيهَا لَٰغِيَةٗ ١١
Llā tasma'u fīhā lāghiyah
Hawatasikia humo upuuzi.Humo imo chemchem inayo miminika. 11
فِيهَا عَيۡنٞ جَارِيَةٞ ١٢
Fīhā 'aynun jāriyah
Humo imo chemchem inayo miminika. 12
فِيهَا سُرُرٞ مَّرۡفُوعَةٞ ١٣
Fīhā sururum marfū'ah
Humo vimo viti vilivyo nyanyuliwa, 13
وَأَكۡوَابٞ مَّوۡضُوعَةٞ ١٤
Wa akwābum mawdū'ah
Na bilauri zilizo pangwa, 14
وَنَمَارِقُ مَصۡفُوفَةٞ ١٥
Wanamāriqu masfūfah
Na matakia safu safu, 15
وَزَرَابِيُّ مَبۡثُوثَةٌ ١٦
Wazarābiyyu mabthūthah
Na mazulia yaliyo tandikwa. 16
أَفَلَا يَنظُرُونَ إِلَى ٱلۡإِبِلِ كَيۡفَ خُلِقَتۡ ١٧
Afalā yanzurūna ilal-ibili kayfa khuliqat
Je! Hawamtazami ngamia jinsi alivyo umbwa? 17
وَإِلَى ٱلسَّمَآءِ كَيۡفَ رُفِعَتۡ ١٨
Wa ilas-samā'i kayfa rufi'at
Na mbingu jinsi ilivyo inuliwa? 18
وَإِلَى ٱلۡجِبَالِ كَيۡفَ نُصِبَتۡ ١٩
Wa ilal-jibāli kayfa nusibat
Na milima jinsi ilivyo thibitishwa? 19
وَإِلَى ٱلۡأَرۡضِ كَيۡفَ سُطِحَتۡ ٢٠
Wa ilal-ardi kayfa sutihat
Na ardhi jinsi ilivyo tandazwa? 20
فَذَكِّرۡ إِنَّمَآ أَنتَ مُذَكِّرٞ ٢١
Fadhakkir innamā anta mudhakkir
Basi kumbusha! Hakika wewe ni Mkumbushaji. 21
لَّسۡتَ عَلَيۡهِم بِمُصَيۡطِرٍ ٢٢
Llasta 'alayhim bimusaytir
Wewe si mwenye kuwatawalia. 22
إِلَّا مَن تَوَلَّىٰ وَكَفَرَ ٢٣
Illā man tawallā wakafar
Lakini anaye rudi nyuma na kukataa, 23
فَيُعَذِّبُهُ ٱللَّهُ ٱلۡعَذَابَ ٱلۡأَكۡبَرَ ٢٤
Fayu'addhibuhullāhul-'adhābal-akbar
Basi Mwenyezi Mungu atamuadhibu kwa adhabu iliyo kubwa kabisa! 24
إِنَّ إِلَيۡنَآ إِيَابَهُمۡ ٢٥
Inna ilaynā iyābahum
Hakika ni kwetu Sisi ndio marejeo yao. 25
ثُمَّ إِنَّ عَلَيۡنَا حِسَابَهُم ٢٦
Thumma inna 'alaynā hisābahum
Kisha hakika ni juu yetu Sisi hisabu yao! 26
Nambari za maelezo ya chini zinaelekeza kwenye ukurasa wa aya, ambapo maelezo ya mfasiri yanaonyeshwa.
Matamshi kwa Kilatini ni msaada wa kusoma ulioandikwa na Qabas kutoka kwa Kiarabu. Jifunze herufi za Kiarabu na tajwidi kwa matamshi sahihi.
Surat Al-Ghashiyah ina aya 26. Ni sura namba 88 ya Qur'ani.
Surat Al-Ghashiyah ni sura Makkiya.
Surat Al-Ghashiyah iko katika juzuu 30.
Ndiyo. Bonyeza Cheza juu ya ukurasa huu, au anza kutoka aya yoyote. Programu ya Qabas pia inakuwezesha kuipakua ili kuisikiliza bila intaneti.