إِنَّ رَبَّكَ لَبِٱلۡمِرۡصَادِ ١٤
Inna rabbaka labil-mirsād
Hakika Mola wako Mlezi yupo kwenye mavizio anawavizia. 14
Maelezo ya chini
14 Hakika Mola wako Mlezi anaviangalia vitendo vya watu, na anawahisabia, na atakuja kuwalipa kwavyo.