Surat At-Takathur التكاثر

Tafsiri: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

أَلۡهَىٰكُمُ ٱلتَّكَاثُرُ ١

Alhākumut-takāthur

Kumekushughulisheni kutafuta wingi, 1

حَتَّىٰ زُرۡتُمُ ٱلۡمَقَابِرَ ٢

Hattā zurtumul-maqābir

Mpaka mje makaburini! 2

كَلَّا سَوۡفَ تَعۡلَمُونَ ٣

Kallā sawfa ta'lamūn

Sivyo hivyo! Mtakuja jua! 3

ثُمَّ كَلَّا سَوۡفَ تَعۡلَمُونَ ٤

Thumma kallā sawfa ta'lamūn

Tena sivyo hivyo! Mtakuja jua! 4

كَلَّا لَوۡ تَعۡلَمُونَ عِلۡمَ ٱلۡيَقِينِ ٥

Kallā law ta'lamūna 'ilmal-yaqīn

Sivyo hivyo! Lau mngeli jua kwa ujuzi wa yakini, 5

لَتَرَوُنَّ ٱلۡجَحِيمَ ٦

Latarawunnal-jahīm

Basi bila ya shaka mtaiona Jahannamu! 6

ثُمَّ لَتَرَوُنَّهَا عَيۡنَ ٱلۡيَقِينِ ٧

Thumma latarawunnahā 'aynal-yaqīn

Tena, bila ya shaka, mtaiona kwa jicho la yakini. 7

ثُمَّ لَتُسۡـَٔلُنَّ يَوۡمَئِذٍ عَنِ ٱلنَّعِيمِ ٨

Thumma latus'alunna yawma'idhin 'anin-na'īm

Tena bila ya shaka mtaulizwa siku hiyo juu ya neema. 8

Nambari za maelezo ya chini zinaelekeza kwenye ukurasa wa aya, ambapo maelezo ya mfasiri yanaonyeshwa.

Matamshi kwa Kilatini ni msaada wa kusoma ulioandikwa na Qabas kutoka kwa Kiarabu. Jifunze herufi za Kiarabu na tajwidi kwa matamshi sahihi.

Maswali

Surat At-Takathur ina aya ngapi?

Surat At-Takathur ina aya 8. Ni sura namba 102 ya Qur'ani.

Je, Surat At-Takathur ni Makkiya au Madaniya?

Surat At-Takathur ni sura Makkiya.

Surat At-Takathur iko katika juzuu gani?

Surat At-Takathur iko katika juzuu 30.

Je, naweza kusikiliza Surat At-Takathur?

Ndiyo. Bonyeza Cheza juu ya ukurasa huu, au anza kutoka aya yoyote. Programu ya Qabas pia inakuwezesha kuipakua ili kuisikiliza bila intaneti.