لَتَرَوُنَّ ٱلۡجَحِيمَ ٦
Latarawunnal-jahīm
Basi bila ya shaka mtaiona Jahannamu! 6
Maelezo ya chini
6 Nakuapieni na nakutilieni mkazo, enyi watu, kwamba hakika nyinyi mtakuja ushuhudia Moto unao waka.
لَتَرَوُنَّ ٱلۡجَحِيمَ ٦
Latarawunnal-jahīm
Basi bila ya shaka mtaiona Jahannamu! 6
6 Nakuapieni na nakutilieni mkazo, enyi watu, kwamba hakika nyinyi mtakuja ushuhudia Moto unao waka.