Surat Al-Qari'ah القارعة

Tafsiri: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

ٱلۡقَارِعَةُ ١

Al-qāri'ah

Inayo gonga! 1

مَا ٱلۡقَارِعَةُ ٢

Mal-qāri'ah

Nini Inayo gonga? 2

وَمَآ أَدۡرَىٰكَ مَا ٱلۡقَارِعَةُ ٣

Wamā adrāka mal-qāri'ah

Na nini kitacho kujuilisha nini Inayo gonga? 3

يَوۡمَ يَكُونُ ٱلنَّاسُ كَٱلۡفَرَاشِ ٱلۡمَبۡثُوثِ ٤

Yawma yakūnun-nāsu kal-farāshil-mabthūth

Siku ambayo watu watakuwa kama nondo walio tawanyika; 4

وَتَكُونُ ٱلۡجِبَالُ كَٱلۡعِهۡنِ ٱلۡمَنفُوشِ ٥

Watakūnul-jibālu kal-'ihnil-manfūsh

Na milima itakuwa kama sufi zilizo chambuliwa! 5

فَأَمَّا مَن ثَقُلَتۡ مَوَٰزِينُهُۥ ٦

Fa ammā man thaqulat mawāzīnuh

Basi yule ambaye mizani yake itakuwa nzito, 6

فَهُوَ فِي عِيشَةٖ رَّاضِيَةٖ ٧

Fahuwa fī 'īshatir rādiyah

Huyo atakuwa katika maisha ya kupendeza. 7

وَأَمَّا مَنۡ خَفَّتۡ مَوَٰزِينُهُۥ ٨

Wa ammā man khaffat mawāzīnuh

Na yule ambaye mizani yake itakuwa khafifu, 8

فَأُمُّهُۥ هَاوِيَةٞ ٩

Fa ummuhū hāwiyah

Huyo maskani yake yatakuwa Moto wa Hawiya! 9

وَمَآ أَدۡرَىٰكَ مَا هِيَهۡ ١٠

Wamā adrāka mā hiyah

Na nini kitacho kujuilisha nini hiyo? 10

نَارٌ حَامِيَةُۢ ١١

Nārun hāmiyah

Ni Moto mkali! 11

Nambari za maelezo ya chini zinaelekeza kwenye ukurasa wa aya, ambapo maelezo ya mfasiri yanaonyeshwa.

Matamshi kwa Kilatini ni msaada wa kusoma ulioandikwa na Qabas kutoka kwa Kiarabu. Jifunze herufi za Kiarabu na tajwidi kwa matamshi sahihi.

Maswali

Surat Al-Qari'ah ina aya ngapi?

Surat Al-Qari'ah ina aya 11. Ni sura namba 101 ya Qur'ani.

Je, Surat Al-Qari'ah ni Makkiya au Madaniya?

Surat Al-Qari'ah ni sura Makkiya.

Surat Al-Qari'ah iko katika juzuu gani?

Surat Al-Qari'ah iko katika juzuu 30.

Je, naweza kusikiliza Surat Al-Qari'ah?

Ndiyo. Bonyeza Cheza juu ya ukurasa huu, au anza kutoka aya yoyote. Programu ya Qabas pia inakuwezesha kuipakua ili kuisikiliza bila intaneti.