Surat At-Takathur, aya 1

102:1

أَلۡهَىٰكُمُ ٱلتَّكَاثُرُ ١

Alhākumut-takāthur

Kumekushughulisheni kutafuta wingi, 1

Maelezo ya chini

1 Yamekushughulisheni mkaacha kutimiza yaliyo waajibu na ya ut'iifu kule kujitapa kwenu kwa wana na wafwasi, na kujifakhiri kwa mali, na hisabu, na nasaba, mpaka yakusibuni mauti!