Surat At-Takathur, aya 7

102:7

ثُمَّ لَتَرَوُنَّهَا عَيۡنَ ٱلۡيَقِينِ ٧

Thumma latarawunnahā 'aynal-yaqīn

Tena, bila ya shaka, mtaiona kwa jicho la yakini. 7

Maelezo ya chini

7 Kisha ninaapa na natilia mkazo kwamba mtauona wazi na kwa yakini.