ثُمَّ لَتُسۡـَٔلُنَّ يَوۡمَئِذٍ عَنِ ٱلنَّعِيمِ ٨
Thumma latus'alunna yawma'idhin 'anin-na'īm
Tena bila ya shaka mtaulizwa siku hiyo juu ya neema. 8
Maelezo ya chini
8 Tena naapa na natilia mkazo kwamba hakika nyinyi mtahisabiwa kwa neema mlizo deka nazo na mkazistarehea.