Surat At-Takathur, aya 5

102:5

كَلَّا لَوۡ تَعۡلَمُونَ عِلۡمَ ٱلۡيَقِينِ ٥

Kallā law ta'lamūna 'ilmal-yaqīn

Sivyo hivyo! Lau mngeli jua kwa ujuzi wa yakini, 5

Maelezo ya chini

5 Ama kwa hakika lau mngeli jua kwa yakini uovu wa mwisho wenu bila ya shaka mngeli ogopa huko kushindania kurindika mali, na mngeli jitengenezea Akhera yenu.