وَتَكُونُ ٱلۡجِبَالُ كَٱلۡعِهۡنِ ٱلۡمَنفُوشِ ٥
Watakūnul-jibālu kal-'ihnil-manfūsh
Na milima itakuwa kama sufi zilizo chambuliwa! 5
Maelezo ya chini
5 Na milima itakuwa kama sufi iliyo tiwa rangi na kuchambuliwa kwa kutapanyika vipande mbali mbali na kupeperuka katika anga huku na huku.