Surat Al-Qari'ah, aya 7

101:7

فَهُوَ فِي عِيشَةٖ رَّاضِيَةٖ ٧

Fahuwa fī 'īshatir rādiyah

Huyo atakuwa katika maisha ya kupendeza. 7

Maelezo ya chini

7 Basi huyo atakuwa na maisha yatayo mridhisha mwenyewe, na nafsi yake itue.