Surat Al-Qari'ah, aya 11

101:11

نَارٌ حَامِيَةُۢ ١١

Nārun hāmiyah

Ni Moto mkali! 11

Maelezo ya chini

11 Moto ulio mkali, hapana moto unao fikilia ukali wake, hata ukichochewa vipi na kutiwa kuni gani!