Surat Al-Qari'ah, aya 4

101:4

يَوۡمَ يَكُونُ ٱلنَّاسُ كَٱلۡفَرَاشِ ٱلۡمَبۡثُوثِ ٤

Yawma yakūnun-nāsu kal-farāshil-mabthūth

Siku ambayo watu watakuwa kama nondo walio tawanyika; 4

Maelezo ya chini

4 Siku hiyo watu watakuwa kama vipepeo kwa wingi na kuhangaika kulia na kushoto, madhaifu na wanyonge!