ٱلۡقَارِعَةُ ١
Al-qāri'ah
Inayo gonga! 1
Maelezo ya chini
1 AL-QAARIA'H, Inayo gonga, ni Kiyama, ambacho kinaanza kwa mpulizo wa mwanzo wa barugumu, na kinaishia itapo katwa hukumu baina ya watu.