Surat Al-Qari'ah, aya 3

101:3

وَمَآ أَدۡرَىٰكَ مَا ٱلۡقَارِعَةُ ٣

Wamā adrāka mal-qāri'ah

Na nini kitacho kujuilisha nini Inayo gonga? 3

Maelezo ya chini

3 Na kitu gani kitacho kujuulisha hali ya AL-QAARIA'H katika kitisho chake juu ya nafsi za watu?