Surat At-Tin, aya 8

95:8

أَلَيۡسَ ٱللَّهُ بِأَحۡكَمِ ٱلۡحَٰكِمِينَ ٨

Alaysallāhu bi ahkamil-hākimīn

Kwani Mwenyezi Mungu si muadilifu kuliko mahakimu wote? 8

Maelezo ya chini

8 Kwani Mwenyezi Mungu aliye yatenda hayo tuliyo kueleza si muadilifu kuliko mahakimu wote kwa kufanya na kupanga?