Surat At-Tin, aya 5

95:5

ثُمَّ رَدَدۡنَٰهُ أَسۡفَلَ سَٰفِلِينَ ٥

Thumma radadnāhu asfala sāfilīn

Kisha tukamrudisha kuwa chini kuliko walio chini! 5

Maelezo ya chini

5 Kisha tukamteremsha cheo mpaka akawa ni wa chini kabisa katika hao walioko chini, kwa kuacha kufanya waajibu wa hayo tuliyo muumbia.