وَٱلتِّينِ وَٱلزَّيۡتُونِ ١
Wat-tīni waz-zaytūn
Naapa kwa tini na zaituni! 1
Maelezo ya chini
1 Naapa kwa tini na zaituni, kwa baraka zao na ubora wa manufaa yao.
وَٱلتِّينِ وَٱلزَّيۡتُونِ ١
Wat-tīni waz-zaytūn
Naapa kwa tini na zaituni! 1
1 Naapa kwa tini na zaituni, kwa baraka zao na ubora wa manufaa yao.