Surat At-Tin, aya 6

95:6

إِلَّا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ فَلَهُمۡ أَجۡرٌ غَيۡرُ مَمۡنُونٖ ٦

Illal-ladhīna āmanū wa'amilus-sālihāti falahum ajrun ghayru mamnūn

Lakini wale walio amini na wakatenda mema, hao watapata ujira usio kwisha. 6

Maelezo ya chini

6 Lakini walio amini na wakatenda vitendo vyema, hao basi watapata ujira usio wakatikia wala kuwapungukia.