Surat At-Tin, aya 7

95:7

فَمَا يُكَذِّبُكَ بَعۡدُ بِٱلدِّينِ ٧

Famā yukaddhibuka ba'du bid-dīn

Basi ni kipi baadaye kitacho kukukadhibishia malipo? 7

Maelezo ya chini

7 Basi kitu gani kinacho kupelekea kukadhibisha kufufuliwa na kulipwa baada ya kuwekwa wazi uweza wetu wa hayo?