Surat Al-'Alaq العلق

Tafsiri: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

ٱقۡرَأۡ بِٱسۡمِ رَبِّكَ ٱلَّذِي خَلَقَ ١

Iqra' bismi rabbikal-ladhī khalaq

Soma kwa jina la Mola wako Mlezi aliye umba! 1

خَلَقَ ٱلۡإِنسَٰنَ مِنۡ عَلَقٍ ٢

Khalaqal-insāna min 'alaq

Amemuumba binaadamu kwa tone la damu! 2

ٱقۡرَأۡ وَرَبُّكَ ٱلۡأَكۡرَمُ ٣

Iqra' warabbukal-akram

Soma! Na Mola wako Mlezi ni Karimu kushinda wote! 3

ٱلَّذِي عَلَّمَ بِٱلۡقَلَمِ ٤

Alladhī 'allama bil-qalam

Ambaye amefundisha kwa kalamu. 4

عَلَّمَ ٱلۡإِنسَٰنَ مَا لَمۡ يَعۡلَمۡ ٥

'Allamal-insāna mā lam ya'lam

Kamfundisha mtu aliyo kuwa hayajui. 5

كَلَّآ إِنَّ ٱلۡإِنسَٰنَ لَيَطۡغَىٰٓ ٦

Kallā innal-insāna layatghā

Kwani! Hakika mtu bila ya shaka huwa jeuri. 6

أَن رَّءَاهُ ٱسۡتَغۡنَىٰٓ ٧

Ar ra'āhustaghnā

Akijiona katajirika. 7

إِنَّ إِلَىٰ رَبِّكَ ٱلرُّجۡعَىٰٓ ٨

Inna ilā rabbikar-ruj'ā

Hakika kwa Mola wako Mlezi ndio marejeo. 8

أَرَءَيۡتَ ٱلَّذِي يَنۡهَىٰ ٩

Ara'aytal-ladhī yanhā

Umemwona yule anaye mkataza. 9

عَبۡدًا إِذَا صَلَّىٰٓ ١٠

'Abdan idhā sallā

Mja anapo sali? 10

أَرَءَيۡتَ إِن كَانَ عَلَى ٱلۡهُدَىٰٓ ١١

Ara'ayta in kāna 'alal-hudā

Umeona kama yeye yuko juu ya uwongofu? 11

أَوۡ أَمَرَ بِٱلتَّقۡوَىٰٓ ١٢

Aw amara bit-taqwā

Au anaamrisha uchamngu? 12

أَرَءَيۡتَ إِن كَذَّبَ وَتَوَلَّىٰٓ ١٣

Ara'ayta in kaddhaba watawallā

Umeona kama yeye akikanusha na anarudi nyuma? 13

أَلَمۡ يَعۡلَم بِأَنَّ ٱللَّهَ يَرَىٰ ١٤

Alam ya'lam bi annallāha yarā

Hajui ya kwamba Mwenyezi Mungu anaona? 14

كَلَّا لَئِن لَّمۡ يَنتَهِ لَنَسۡفَعَۢا بِٱلنَّاصِيَةِ ١٥

Kallā la il lam yantahi lanasfa'ā bin-nāsiyah

Kwani! Kama haachi, tutamkokota kwa shungi la nywele! 15

نَاصِيَةٖ كَٰذِبَةٍ خَاطِئَةٖ ١٦

Nāsiyatin kādhibatin khāti'ah

Shungi la uwongo, lenye makosa! 16

فَلۡيَدۡعُ نَادِيَهُۥ ١٧

Falyad'u nādiyah

Basi na awaite wenzake! 17

سَنَدۡعُ ٱلزَّبَانِيَةَ ١٨

Sanad'uz-zabāniyah

Nasi tutawaita Mazabania! 18

كَلَّا لَا تُطِعۡهُ وَٱسۡجُدۡۤ وَٱقۡتَرِب۩ ١٩

Kallā lā tuti'hu wasjud waqtarib

Hasha! Usimt'ii! Nawe sujudu na ujongee! 19

Nambari za maelezo ya chini zinaelekeza kwenye ukurasa wa aya, ambapo maelezo ya mfasiri yanaonyeshwa.

Matamshi kwa Kilatini ni msaada wa kusoma ulioandikwa na Qabas kutoka kwa Kiarabu. Jifunze herufi za Kiarabu na tajwidi kwa matamshi sahihi.

Aya maarufu

Maswali

Surat Al-'Alaq ina aya ngapi?

Surat Al-'Alaq ina aya 19. Ni sura namba 96 ya Qur'ani.

Je, Surat Al-'Alaq ni Makkiya au Madaniya?

Surat Al-'Alaq ni sura Makkiya.

Surat Al-'Alaq iko katika juzuu gani?

Surat Al-'Alaq iko katika juzuu 30.

Je, naweza kusikiliza Surat Al-'Alaq?

Ndiyo. Bonyeza Cheza juu ya ukurasa huu, au anza kutoka aya yoyote. Programu ya Qabas pia inakuwezesha kuipakua ili kuisikiliza bila intaneti.