وَهَٰذَا ٱلۡبَلَدِ ٱلۡأَمِينِ ٣
Wahādhal-baladil-amīn
Na kwa mji huu wenye amani! 3
Maelezo ya chini
3 Na kwa huu mji mtukufu wa Makka, ambao anaushuhudia utukufu wake mwenye kwenda uzuru, na anapata amani mwenye kuuingia.