Surat At-Tin, aya 4

95:4

لَقَدۡ خَلَقۡنَا ٱلۡإِنسَٰنَ فِيٓ أَحۡسَنِ تَقۡوِيمٖ ٤

Laqad khalaqnal-insāna fī ahsani taqwīm

Bila ya shaka tumemuumba mtu kwa umbo lilio bora kabisa. 4

Maelezo ya chini

4 Kwa hakika bila ya shaka yoyote Sisi tumemuumba mtu amesimama sawa kwa umbo bora kabisa lilio nyooka, na akasifika kwa sifa nzuri kabisa.