Surat Ad-Duha, aya 3

93:3

مَا وَدَّعَكَ رَبُّكَ وَمَا قَلَىٰ ٣

Mā wadda'aka rabbuka wamā qalā

Mola wako Mlezi hakukuacha, wala hakukasirika nawe. 3

Maelezo ya chini

3 Ewe Muhammad! Mola wako Mlezi hakukuacha, wala hakukuchukia.