Surat Ad-Duha, aya 7

93:7

وَوَجَدَكَ ضَآلّٗا فَهَدَىٰ ٧

Wawajadaka dāllan fahadā

Na akakukuta umepotea akakuongoa? 7

Maelezo ya chini

7 Na akakuona umebabaika hukukinaika na itikadi zilizo kuzunguka, naye akakuongoa kwenye Njia ya Haki?