وَٱلَّيۡلِ إِذَا يَغۡشَىٰ ١
Wallayli idhā yaghshā
Naapa kwa usiku unapo funika! 1
Tafsiri: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani
بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
وَٱلَّيۡلِ إِذَا يَغۡشَىٰ ١
Wallayli idhā yaghshā
Naapa kwa usiku unapo funika! 1
وَٱلنَّهَارِ إِذَا تَجَلَّىٰ ٢
Wan-nahāri idhā tajallā
Na mchana unapo dhihiri! 2
وَمَا خَلَقَ ٱلذَّكَرَ وَٱلۡأُنثَىٰٓ ٣
Wamā khalaqadh-dhakara wal-unthā
Na kwa Aliye umba dume na jike! 3
إِنَّ سَعۡيَكُمۡ لَشَتَّىٰ ٤
Inna sa'yakum lashattā
Hakika juhudi zenu bila ya shaka ni mbali mbali. 4
فَأَمَّا مَنۡ أَعۡطَىٰ وَٱتَّقَىٰ ٥
Fa ammā man a'tā wattaqā
Ama mwenye kutoa na akamchamngu! 5
وَصَدَّقَ بِٱلۡحُسۡنَىٰ ٦
Wasaddaqa bil-husnā
Na akaliwafiki lilio jema! 6
فَسَنُيَسِّرُهُۥ لِلۡيُسۡرَىٰ ٧
Fasanuyassiruhū lil-yusrā
Tutamsahilishia yawe mepesi. 7
وَأَمَّا مَنۢ بَخِلَ وَٱسۡتَغۡنَىٰ ٨
Wa ammā mam bakhila wastaghnā
Na ama mwenye kufanya ubakhili, na asiwe na haja ya wenzake! 8
وَكَذَّبَ بِٱلۡحُسۡنَىٰ ٩
Wakaddhaba bil-husnā
Na akakanusha lilio jema! 9
فَسَنُيَسِّرُهُۥ لِلۡعُسۡرَىٰ ١٠
Fasanuyassiruhū lil-'usrā
Tutamsahilishia yawe mazito! 10
وَمَا يُغۡنِي عَنۡهُ مَالُهُۥٓ إِذَا تَرَدَّىٰٓ ١١
Wamā yughnī 'anhu māluhū idhā taraddā
Na mali yake yatamfaa nini atapo kuwa anadidimia? 11
إِنَّ عَلَيۡنَا لَلۡهُدَىٰ ١٢
Inna 'alaynā lalhudā
Hakika ni juu yetu kuonyesha uwongofu. 12
وَإِنَّ لَنَا لَلۡأٓخِرَةَ وَٱلۡأُولَىٰ ١٣
Wa inna lanā lal'ākhirata wal-ūlā
Na hakika ni yetu Sisi Akhera na dunia. 13
فَأَنذَرۡتُكُمۡ نَارٗا تَلَظَّىٰ ١٤
Fa andhartukum nāran talazzā
Basi nakuonyeni na Moto unao waka! 14
لَا يَصۡلَىٰهَآ إِلَّا ٱلۡأَشۡقَى ١٥
Lā yaslāhā illal-ashqā
Hatauingia ila mwovu kabisa! 15
ٱلَّذِي كَذَّبَ وَتَوَلَّىٰ ١٦
Alladhī kaddhaba watawallā
Anaye kadhibisha na kupa mgongo. 16
وَسَيُجَنَّبُهَا ٱلۡأَتۡقَى ١٧
Wasayujannabuhal-atqā
Na mchamngu ataepushwa nao, 17
ٱلَّذِي يُؤۡتِي مَالَهُۥ يَتَزَكَّىٰ ١٨
Alladhī yu'tī mālahū yatazakkā
Ambaye hutoa mali yake kwa ajili ya kujitakasa. 18
وَمَا لِأَحَدٍ عِندَهُۥ مِن نِّعۡمَةٖ تُجۡزَىٰٓ ١٩
Wamā li ahadin 'indahū min ni'matin tujzā
Na wala si kwa kuwa yupo yeyote aliye mfanyia hisani ndio anamlipa. 19
إِلَّا ٱبۡتِغَآءَ وَجۡهِ رَبِّهِ ٱلۡأَعۡلَىٰ ٢٠
Illabtighā'a wajhi rabbihil-a'lā
Ila ni kutaka radhi ya Mola wake Mlezi aliye juu kabisa. 20
وَلَسَوۡفَ يَرۡضَىٰ ٢١
Walasawfa yardā
Naye atakuja ridhika! 21
Nambari za maelezo ya chini zinaelekeza kwenye ukurasa wa aya, ambapo maelezo ya mfasiri yanaonyeshwa.
Matamshi kwa Kilatini ni msaada wa kusoma ulioandikwa na Qabas kutoka kwa Kiarabu. Jifunze herufi za Kiarabu na tajwidi kwa matamshi sahihi.
Surat Al-Layl ina aya 21. Ni sura namba 92 ya Qur'ani.
Surat Al-Layl ni sura Makkiya.
Surat Al-Layl iko katika juzuu 30.
Ndiyo. Bonyeza Cheza juu ya ukurasa huu, au anza kutoka aya yoyote. Programu ya Qabas pia inakuwezesha kuipakua ili kuisikiliza bila intaneti.