أَلَمۡ يَجِدۡكَ يَتِيمٗا فَـَٔاوَىٰ ٦
Alam yajidka yatīman fa'āwā
Kwani hakukukuta yatima akakupa makaazi? 6
Maelezo ya chini
6 Kwani hakukukuta wewe yatima unahitaji wa kukutunza naye akakupa makaazi ya kukuhifadhi kwa mwenye kukuangalia vyema kwa mambo yako?