وَأَمَّا بِنِعۡمَةِ رَبِّكَ فَحَدِّثۡ ١١
Wa ammā bini'mati rabbika fahaddith
Na neema za Mola wako Mlezi zisimlie. 11
Maelezo ya chini
11 Na ama neema za Mola wako Mlezi zitangaze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kuwa ndio kudhihirisha neema.