وَلَسَوۡفَ يُعۡطِيكَ رَبُّكَ فَتَرۡضَىٰٓ ٥
Walasawfa yu'tīka rabbuka fatardā
Na Mola wako Mlezi atakupa mpaka uridhike. 5
Maelezo ya chini
5 Na ninaapa kuwa bila ya shaka hapo Mola wako Mlezi atakupa kheri za duniani na Akhera hata utaridhia.