Surat Al-Masad المسد

Tafsiri: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

تَبَّتۡ يَدَآ أَبِي لَهَبٖ وَتَبَّ ١

Tabbat yadā abī lahabin watabb

Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia. 1

مَآ أَغۡنَىٰ عَنۡهُ مَالُهُۥ وَمَا كَسَبَ ٢

Mā aghnā 'anhu māluhū wamā kasab

Hayatamfaa mali yake, wala alivyo vichuma. 2

سَيَصۡلَىٰ نَارٗا ذَاتَ لَهَبٖ ٣

Sayaslā nāran dhāta lahab

Atauingia Moto wenye mwako. 3

وَٱمۡرَأَتُهُۥ حَمَّالَةَ ٱلۡحَطَبِ ٤

Wamra'atuhū hammālatal-hatab

Na mkewe, mchukuzi wa kuni, 4

فِي جِيدِهَا حَبۡلٞ مِّن مَّسَدِۭ ٥

Fī jīdihā hablum mim masad

Shingoni mwake iko kamba iliyo sokotwa. 5

Nambari za maelezo ya chini zinaelekeza kwenye ukurasa wa aya, ambapo maelezo ya mfasiri yanaonyeshwa.

Matamshi kwa Kilatini ni msaada wa kusoma ulioandikwa na Qabas kutoka kwa Kiarabu. Jifunze herufi za Kiarabu na tajwidi kwa matamshi sahihi.

Maswali

Surat Al-Masad ina aya ngapi?

Surat Al-Masad ina aya 5. Ni sura namba 111 ya Qur'ani.

Je, Surat Al-Masad ni Makkiya au Madaniya?

Surat Al-Masad ni sura Makkiya.

Surat Al-Masad iko katika juzuu gani?

Surat Al-Masad iko katika juzuu 30.

Je, naweza kusikiliza Surat Al-Masad?

Ndiyo. Bonyeza Cheza juu ya ukurasa huu, au anza kutoka aya yoyote. Programu ya Qabas pia inakuwezesha kuipakua ili kuisikiliza bila intaneti.