إِذَا جَآءَ نَصۡرُ ٱللَّهِ وَٱلۡفَتۡحُ ١
Idhā jā'a nasrullāhi wal-fath
Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi, 1
Tafsiri: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani
بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
إِذَا جَآءَ نَصۡرُ ٱللَّهِ وَٱلۡفَتۡحُ ١
Idhā jā'a nasrullāhi wal-fath
Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi, 1
وَرَأَيۡتَ ٱلنَّاسَ يَدۡخُلُونَ فِي دِينِ ٱللَّهِ أَفۡوَاجٗا ٢
Wara'aytan-nāsa yadkhulūna fī dīnillāhi afwājā
Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi, 2
فَسَبِّحۡ بِحَمۡدِ رَبِّكَ وَٱسۡتَغۡفِرۡهُۚ إِنَّهُۥ كَانَ تَوَّابَۢا ٣
Fasabbih bihamdi rabbika wastaghfirhu innahū kāna tawwābā
Zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba. 3
Nambari za maelezo ya chini zinaelekeza kwenye ukurasa wa aya, ambapo maelezo ya mfasiri yanaonyeshwa.
Matamshi kwa Kilatini ni msaada wa kusoma ulioandikwa na Qabas kutoka kwa Kiarabu. Jifunze herufi za Kiarabu na tajwidi kwa matamshi sahihi.
Surat An-Nasr ina aya 3. Ni sura namba 110 ya Qur'ani.
Surat An-Nasr ni sura Madaniya.
Surat An-Nasr iko katika juzuu 30.
Ndiyo. Bonyeza Cheza juu ya ukurasa huu, au anza kutoka aya yoyote. Programu ya Qabas pia inakuwezesha kuipakua ili kuisikiliza bila intaneti.