مَآ أَغۡنَىٰ عَنۡهُ مَالُهُۥ وَمَا كَسَبَ ٢
Mā aghnā 'anhu māluhū wamā kasab
Hayatamfaa mali yake, wala alivyo vichuma. 2
Maelezo ya chini
2 Hayatolindwa na adhabu ya Mwenyezi Mungu mali yake aliyo kuwa nayo, wala cheo chake alicho kichuma.