تَبَّتۡ يَدَآ أَبِي لَهَبٖ وَتَبَّ ١
Tabbat yadā abī lahabin watabb
Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia. 1
Maelezo ya chini
1 Imeteketea mikono ya Abu Lahab iliyo kuwa ikiwaudhi Waislamu, na yeye mwenyewe amehiliki pia.