Surat Al-Masad, aya 5

111:5

فِي جِيدِهَا حَبۡلٞ مِّن مَّسَدِۭ ٥

Fī jīdihā hablum mim masad

Shingoni mwake iko kamba iliyo sokotwa. 5

Maelezo ya chini

5 Juu ya shingo yake itakuwa kamba ya mtende ya kumtesa.